TSet 3
-jifungua
-zaa kwa njia ya kistaarabu zaidi
ninakuwa na pesa nyingi mwisho wa mwezi
I have a lot of money at the end of the month
ningekualika
I would invite you
niko huru
I'm free
ninakuwa na furaha wakifanya vizuri
I'm happy if they do well
ninakuwapo Arusha mwezi wa moja mpaka mwezi wa sita
I'm in arusha from january to june
niko hatarini
I'm in danger
ninakuwamo darasani kila wikiendi
I'm in the classroom every weekend
muda mwingi
a lot of the time
kiboko
aina ya adhabu (hits/spanks)
mradi
ambition/desire, project
ufugaji
an person who raises animals
makala
article
naomba wewe kuipitia kazi yangu
can you look at my work?
mbolea
chakula cha mimea (fertilizer)
mboga
chakula cha pembeni
kifaranga
chicks
ufafanuzi
clarification, elaboration
upatanisho
conjugations/complements
mgawanyo
division
jitihada
effort, diligence
halisi
exact, precise
maalum
famous, important
ishara
gestures, hand motions
miungu
gods
alama
grades, sign, mark (smudge)
uhali gani? / hali yako ikoje?
habari gani? (what's your state?)
haifai
haipendezi (si ya kistaarabu)
mayai yameanguliwa?
have the eggs hatched?
alipata alama nzuri
he got good grades
umbo lake
her body shape
wewe umekuwepo tanzania kwa muda gani?
how long have you been in Tanzania?
ningalikualika
i would have invited you
ninakuwa mpole nikiwaona wageni
i'm polite if I see guests
nikikualika
if I invite you
kwa upana
in depth (in breadth)
kiwanda
industry, factory
maoresho ya biashara ya kimataifa
international trade fair
-komaa
kama mti ni tayari kukata na kutumia (-iva)
paukwa! pakawa!
kuanza hadithi (call and response)
-pitia
kupita kuangalia zaidi
kupauka
kupoteza rangi
kuwa mwazi
kuwa huru
mabaki ya chakula
leftovers
mubashara
live (tv)
is mom there?
mama yupo?
kazi za wito
moyo unapojisikia kufanya kitu, unaitwa kufanya kazi hii
mlamboga
mtu ambaye hali nyama
madhumuni yangu kuenda mjini leo ni kununua chokoleti
my reason for going to the market today is to buy chocolate
hadithi yangu inaishia hapo
my story ends there
nyembamba
narrow
mpwa
nephew
ganda
ngozi ya matunda
muuguzi
nurse
nywila
password
mnara wa simu
phone tower
madhumuni
sababu ya kutaka kufanya (purpose, reasoning)
kulingana na
sawa na
kashfa
scandal
masaria ya chakula
scraps of food
muundo
shape, structure
ana adabu
she has discipline *kama tabia nzuri
kiwanda kinazalisha vyakula vya baharini
the factory produces seafood
chai imeisha
there's no more chai (it's finished)
yametoa vizuri kwa maua
they bloomed
-jumlisha
to add
-tegemewa
to be depended upon
-faidisha
to benefit
-jifaidisha
to benefit yourself
-fafanua
to clarify
-gawanya
to divide
-patana
to get eachother (-elewana)
-taga mayai
to give eggs (ndege)
-angaliwa
to hatch
-zalisha
to help someone birth
-alika
to invite
-fuga wanyama
to keep/raise animals
-rahisisha
to make easier
-pima
to measure
-jifanya
to pretend
-onesha
to show
-toa
to subtract
-zungumzia
to talk about
-patanisha
to try to get people to work it out
-piga mwayo
to yawn
mnara
tower
mboga za majani/ mbogamoboga
vegetables
wakati ninapokuwa na wanafunzi ninakuwemo darasani
when I have students I'm in the classroom
unapoondoka darasani unapitia mlangoni
when you leave the classroom you go through the door
mwaka jana ulikuweko wapi?
where were you last year?
wikiendi mtakuwako wapi?
where will you be this weekend?
nilikuwa nimelala ulikuja nyumbani
while I was sleeping you came home
pana
wide
karakana
workshop
jana tulikuwa tunacheza alipoenda nyumbani
yesterday we were playing when he went home
ninyi nyote
you all
unaweza kumtoa ujumbe baada ya mwito huu
you can leave a message after the beep
uwepo banda la chai saa kumi
you should be at the chai hut at 4:00
utapata adhabu
you will be disciplined *kama kitendo kibaya
simu yako inaita
your phone is ringing