Swahili Verb "Hu" Habitual Tense
Ace your homework & exams now with Quizwiz!
mimi hupiga mswaki
I brush
mimi huwa silali
I do not sleep
mimi huoga
I shower
mimi huzungumza sana
I talk a lot
Wanafunzi huwa hawasomi
Students do not study
huwa + negated verb =
negated habitual tense
Yeye huwa hanywi
she does not drink
wao huwa hawapiki
they do not cook
sisi huenda
we go
wewe huamka
you wake up
yeye huwa siendi
he/she does not go
yeye husoma
he/she studies
